Katika mchezo huo ambao unachezwa kwenye mji wa Oujda, Taifa Stars ina hesabu nne mkononi ambazo inapaswa kuzitimiza kwa ...
Timu pekee ya soka Tanzania iliyowahi kushiriki Fainali za Kombe la Dunia ni timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka ...
UEFA Nations League baada ya kushinda michezo yao ya hatua ya robo fainali juzi. Hispania ambao ni mabingwa watetezi walikuwa ...
JUZI ilikuwa sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Mwanaspoti na Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto na alizungumzia mambo mbalimbali ya uongozi wake ndani ya bodi hiyo, ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la ...
Mechi ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Singida Black Stars baina ya timu hiyo na Yanga, imeishia katika dakika ya 57 kutokana na ...
BILIONEA mmiliki wa klabu ya Chelsea, Todd Boehly amethibitisha klabu hiyo itaondoka Stamford Bridge na kuhamia kwenye uwanja ...
KUNA hesabu Kali ambazo Yanga inazipiga kibabe ndani ya kikosi chao cha msimu ujao wakitaka kuingiza silaha za maana ndani ya ...
MAJERUHI yameilazimisha Arsenal kumchezesha kiungo Mikel Merino eneo la mshambuliaji wa kati, jambo lililomfanya Kocha Mikel Arteta kubebeshwa lawama za kushindwa kusajili straika dirisha ...
TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars inakabiliwa na mechi ngumu ya ugenini dhidi ya Morocco kuazia saa 6:30 usiku ...
KLABU ya Singida Black Stars leo, Jumatatu imeandika historia mpya kwa kuzindua rasmi uwanja wake wa nyumbani hapa Mtipa ...
LISEMWALO ni Marcus Rashford hatakuwa na maisha yoyote kwenye kikosi cha Manchester United endapo kama Kocha Ruben Amorim ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results